Mamba

Mamba
huyu ni mamba mkubwa aliyeko katika ranch ya kaole anaurefu wa futi kumi na mbili na umri wa miaka 54

Monday, July 25, 2011

Hawa ni mamba wadogo wakiota jua baada ya kula chakula katika ranch ya kaole. Mamba hawa wana umri kati ya miaka kumi na kumi na tano na huwa wanakaa kulingana na ukubwa katika mabwawa maalumu, ili wasiweze kudhuru wengine. kulingana na udogo wao.

Thursday, February 22, 2007

this site is under construction